Wakulima kunufaika na Jubilee Alliance Insurance
Kampuni ya Jubilee Alliance Insurance imewataka sasa wakulima kufika na kutumia huduma zao mpya ambazo wamezianzisha wakilenga kumsaidia mkulima huku wakizindua pia huduma za bima kwa wanaofanya biashara ya utalii.