"Korosho ya Tanzania yauzwa Marekani" - Mavunde
Naibu Waziri wa Kilimo, Mh. Anthony Mavunde aeleza kuwa Serikali inaendelea kutekeleza mikakati mbalimbali yenye lengo la kuhakikisha asilimia 60 ya korosho zote zinazozalishwa nchini zinabanguliwa ifikapo msimu wa mwaka 2025/2026.