Matokeo darasa la saba yawekwa hadharani

Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani NECTA.Dkt.Said Mohamed, ametangaza matokeo ya darasa la saba ambapo  ufaulu wa jumla umeongezeka huku ubora wa wanafunzi waliopata madaraja A na B ukiimarika zaidi

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS