Abdu Kiba ajibu Killy na Cheed kurudi Kings Music 

Picha ya Abdukiba kushoto, kulia ni Harmonize, Killy na Cheed

Msanii wa Kings Music Abdukiba amesema bado Killy na Cheed wana nafasi kwenye game na mashabiki wanawahitaji hivyo wasikate tamaa baada ya wasanii hao kutoka lebo ya Kondegang ya Harmonize. 

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS