Viongozi Wa Dini Watakiwa Kuliombea Taifa Viongozi wa Dini mkoa wa Dar es Salaam, wametakiwa kuliombea Taifa ili liweze kuwa na viongozi wanaomjua Mungu ili wasije kuharibu kuvuruga uwepo wa nyumba za ibada. Read more about Viongozi Wa Dini Watakiwa Kuliombea Taifa