Wananchi Waomba Benki za serikali
Wananchi kutoka nchi za Afrika Mashariki wameomba Serikali kurudisha Taasisi za Fedha za Serikali ili ziweze kuwafikia wananchi wengi waishio vijijini Kwani taasisi zilizopo zimelenga zaidi kupata faida na sio kuwekeza kwa wananchi waishio vijijini.