Wananchi waua Askari wawili na raia
Watu watatu wamefariki dunia mkoani Geita, wakiwemo askari wawili wa Jeshi la Uhamiaji baada ya wao kupata taarifa za uwepo wa wahamiaji haramu kwenye moja ya nyumba katika Kijiji cha Mtakuja wilayani Mbogwe mkoani humo na ndipo ilipotokea sintofahamu na wananchi kuwashambulia.