Jay Z amrusha Lupita Nyong'o Jay Z, Jay Electrica Mwanadada Lupita Nyongo ameendelea kujipatia sifa kubwa kutokana na mafanikio na jina alilojijengea kwa ushiriki wake ndani ya filamu ya 12 Years A Slave, ambapo safari hii ametajwa katika moja ya mashairi ya rapa Jay Z. Read more about Jay Z amrusha Lupita Nyong'o