Malacia arejea Man U baada ya kukaa nje miezi 17

Malacia amekaa nje ya uwanja tangu aitumikie timu ya taifa ya Uholanzi dhidi ya Crotia mchezo wa mashindano ya ligi ya mataifa ya bara la Ulaya uliofanyika mwaka 2023.Baada ya hapo Mchezaji huyo amekuwa muhanga wa matatizo ya goti yanayomsumbua mara kwa mara kurejea kwake uwanjani mwezi Februari kuliahirishwa kutokana na kuhofia kumuharakisha kurudi uwanjani na kutonesha jeraha lake.

Beki wa kushoto wa klabu ya Manchester United Tyrell Malacia amerejea kiwanjani jana kwenye mchezo wa kombe la ligi vikosi vyenye umri wa chini ya miaka 21 dhidi ya Huddersfield Town baada ya kukaa nje ya uwanja kwa miezi 17 akiuguza majeraha.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS