Uhaba wa maji kuathiri viwanda vya vinywaji.

Taasisi  za Kibenki na kampuni zingine zinazojihusisha na uzalishaji wa vinywaji nchini zimeshauriwa kuja na mkakati wa kukabilina na changamoto za maji zinazosababishwa na mabadiliko ya Tabia nchi kwa kuwa sekta ya viwanda haiwezi kuwa na tija kiuchumi pasipo kuwa na maji ya Kutosha

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS