Wananchi kupata mafunzo ya kijeshi Burkina Faso Watawala wa kijeshi nchini Burkina Faso wameanzisha harakati za kuajiri maelfu ya raia wanaojitolea kusaidia kupambana na wapiganaji wenye itikadi kali za Kiislamu. Read more about Wananchi kupata mafunzo ya kijeshi Burkina Faso