Mtumbwi wazama na kuua 8 Liberia Takribani watu wanane, akiwemo mama na mtoto wake wa miezi miwili, wamefariki baada ya mtumbwi kuzama mtoni katika huko Nimba kaskazini mashariki mwa Liberia mwishoni mwa wiki. Read more about Mtumbwi wazama na kuua 8 Liberia