Katibu wa CCM Kilolo apigwa risasi

Aliyekuwa Katibu wa chama cha mapinduzi wilayani Kilolo Mkoani Iringa Christina Kibiki amevamiwa na watu wasiojulikana na  kuuwawa nyumbani kwake kwakupigwa risasi kifuani

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS