Simbachawene akerwa na wanaofokea watumishi wenzao

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.George  Simbachawene ameonesha kukerwa na  baadhi ya Wakurugenzi na Wakuu wa Taasisi za Serikali  wenye  tabia ya kuwafokea Watumishi  walio chini yao  wakiamini kufanya hivyo ndio uongozi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS