Wakili wa mgombea Urais alivyouawa Msumbiji Wakili wa kiongozi maarufu wa upinzani nchini Msumbiji Elvino Dias, ameuawa kwa kupigwa risasi katika Mji Mkuu wa Maputo wakati akiwa na mmoja wa afisa wa chama chake. Read more about Wakili wa mgombea Urais alivyouawa Msumbiji