Simbachawene awata waumini kutotegemea misaada
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene, amewataka waumini wa Kijiji cha Ikuyu kilichopo katika Tarafa ya Kibakwe Wilayani Mpwapwa kuwa mstari wa mbele katika kujitolea fedha na vitu mbalimbali ili kutatua changamoto mbalimbali