Dereva Aliye Sababisha Ajali Mwanza Akamatwa
Jeshi la polisi mkoani mwanza limewakamata madereva wawili wa basi la Asante rabi Karim Auni (40) na Shedrack Swai (37) aliesababisha ajali iliyotokea octoba 22 jijini mwanza iliyoua watu 8 jijini na wengine kadhaa kujeruhiwa.