Bilioni 3.2 kumaliza changamoto miundombinu Amana

Dkt.Bryson Kiwelu, Mganga Mfawidhi Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Amana

Mganga mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Amana, Dkt.Bryson Kiwelu, anaomba wananchi na wadau wa Afya nchini kuwaunga mkono kufanikisha kampeni ya kuchangia maboresho na upanuzi wa jengo la mama na mtoto ili kupanua wigo wa huduma za watoto wanaozaliwa kabla ya wakati.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS