Vurugu zazuka uchaguzi kura za maoni Kigoma
vurugu zimezuka kura za maoni uchaguzi wa kumpata mgombea atakaekwenda kupeperusha bendera serikali za mitaa chama cha Mapinduzi mtaa wa mwanga mkoani kigoma mara baada ya wananchi kutoridhika na mchakato wa uchaguzi huo.