NIDA kutumika kwenye huduma za jamii nchini Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa, amewataka Watanzania kuwa na namba ya kitambulisho cha Taifa yani NIDA, ili kurahisha huduma za kidigitali zitakazomtambua kila raia kwa namba yake. Read more about NIDA kutumika kwenye huduma za jamii nchini