Wawekezaji Nishati Wakaribishwa Kuwekeza Tanzania Wawekezaji kutoka mataiafa mbalimbali wamekaribishwa nchini Tanzania kwa ajili ya kuwekeza kwenye sekta ya Nishati jadidifu ya Joto Ardhi ili kuongeza vyanzo Vya uzalishaji wa Umeme nchini. Read more about Wawekezaji Nishati Wakaribishwa Kuwekeza Tanzania