Barabara za Mwendokasi Zianze Kutumika

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila ameagizqa barabara za mwendikasi ambazo zinasubiri mabsi ya mwendokasi zianze kutumika kwanzia leo ili kuokoa foleni kwa muda wa asubuhi na jioni.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS