Gachagua augua kifua ashinda kujitetea

Naibu Rais wa Kenya Rigathi Gachagua

Hali ya Naibu Rais wa Kenya Rigathi Gachagua imeelezwa kuwa tete baada ya kukumbwa na maumivu makali ya kifua hali iliyopelekea kukimbizwa hospitali kwa ajili ya matibabu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS