Mifuko ya hifadhi ya jamii yaaswa kuwekeza TDB

Festo Fute - Mkurugenzi wa hifadhi ya Jamii, Ofisi ya Waziri Mkuu. 

Mifuko ya hifadhi ya jamii imetakiwa kuona fursa zinazopatikana katika nchi wanachama ambao Tanzania ni mwanachama wake ili kuiletea nchi maendekeo kutokana na magawio yanayotolewa na taasisi zake.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS