Wabunge waridhishwa na umeme wa gesi

Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini imeridhishwa na uhakika wa upatikanaji wa umeme wa gesi katika kituo cha kufua umeme cha Kinyerezi II ambacho kinazalisha megawati 240 ambazo zinaingizwa kwenye gridi ya taifa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS