Mawaziri 11 wa afya kuijadili Ebola Uganda Mawaziri wa afya kutoka nchi 11 za Afrika wamekutana Jumatano nchini Uganda ili kujadiliana kuhusu ugonjwa wa Ebola ulioibuka hivi karibuni nchini humo. Read more about Mawaziri 11 wa afya kuijadili Ebola Uganda