Waganga wa jadi wapigwa marufuku Uganda. Rais wa Uganda Yoweri Museveni amewaagiza waganga wa jadi kuacha kuwatibu watu wakati wa mlipuko wa ebola unaoendelea ambao hadi sasa umesababisha vifo vya watu 19 nchini humo. Read more about Waganga wa jadi wapigwa marufuku Uganda.