Wasafiri kupimwa Ebola kwa Magufuli

Kituo cha kupimia Ebola stendi ya Magufuli

Serikali imeweka kituo maalum cha ufuatiliaji wa ugonjwa wa Ebola kwa abiria wanaotoka mikoa ya mipakani mwa Tanzania na nchi jirani  katika kituo kikuu cha mabasi cha Magufuli jijini Dar es Salaam.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS