Kipindupindu chaua mmoja Lindi Mkazi mmoja mkoani Lindi amefariki dunia baada ya kuugua ugonjwa wa kipindupindu huku wengine 24 wakiendelea kupatiwa matibabu mara baada ya kugundulika kuwa na ugonjwa huo. Read more about Kipindupindu chaua mmoja Lindi