Watano wafariki ajalini wapo ndugu wa familia moja
Watu watano wakiwemo wawili wa familia moja ambao walikuwa wakielekea msibani wilayani Kyela, wamefariki dunia katika ajali ya gari iliyohusisha gari ndogo aina ya Coaster na basi la kampuni ya Kyela Express kugongana uso kwa uso eneo la Kiwira wilayani Rungwe.