Zahanati ya Kirumba yapokea vifaa tiba
Katika kuunga mkono juhudi za serikali za kupunguza vifo vya mama na mtoto, Zahanati ya Kirumba iliyopo jijini Mwanza inayohudumia wakazi Zaidi ya elfu arobaini wa kata za Kitangiri, Kirumba Pamoja na maeneo Jirani imepokea msaada wa vifaa tiba.