Waathirika wa VVU walalamikia siri zao kuvuja.
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na mtandao wa maadili juu ya virusi vya UKIMWI nchini Kenya (KELIN), Kliniki za wagonjwa wa VVU zipo kwenye maeneo ya wazi katika hosptali mbalimbali jambo linalosababisha kukosa usiri kwa waathirika.