Prof. Mkenda ahimiza ujuzi kwenye bidhaa za ngozi Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda Serikali imeitaka Taasisi ya Teknolojia ya Dar es Saalam (DIT) kuhakikisha kuwa inaongeza ufundishaji kwenye ujuzi wa bidhaa za ngozi. Read more about Prof. Mkenda ahimiza ujuzi kwenye bidhaa za ngozi