Mikoa kanda ya ziwa hatarini kuwa jangwa
Mikoa ya kanda ya ziwa inaelezwa kuwa hatarini kugeuka kuwa jangwa kutokana na kupoteza zaidi ya asilimia 50 ya uoto wa asili suala linalosababishwa na uharibifu wa mazingira unaoambatana na shughuli mbalimbali za binadamu ikiwemo ujenzi wa makazi pamoja na shughuli za uchimbaji wa madini.