Walimu watakiwa kuwa wawazi kwenye changamoto
Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Adolf Mkenda amewataka walimu na wadhibiti ubora wa Elimu nchini kuwa wawazi kwenye maeneo yenye changamoto ya miundombinu ili serikali iweze kuongeza nguvu kwa ajili ya kutatua changamoto hiyo na si kusambaza mitandaoni