Frimpong kuziba pengo la Trent Liverpool

Jeremie Frimpong - Beki wa kulia wa Bayern Leverkusen

Klabu ya Liverpool wapo kwenye makubaliano ya kumsajili beki wa kulia wa Bayern Leverkusen Jeremie Frimpong  ili kuziba nafasi Trent Alexander Arnold anayeondoka mwishoni mwa msimu huu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS