Wazazi watakiwa kupunguza ukali kwa watoto

Kutokana na kukithiri kwa vitendo vya ukatili kwa watoto ikiwamo vya ubakaji na ulawiti, wazazi na walezi wametakiwa kupunguza ukali kwa watoto na kujenga mazoea ya kuzungumza nao kama marafiki, ili kupunguza vitendo hivyo kwa kundi hilo

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS