Mzee ambaka mwanafunzi mchana kweupe kwa elfu 10
Mzee Aboubakar Said (64), mkazi wa Kata ya Ndembezi Manispaa ya Shinyanga, anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani humo kwa tuhuma za kumbaka mwanafunzi wa kidato cha kwanza baada ya kumrubuni kwa kumpa shilingi elfu 10.