Sera ya elimu mahitaji maalum yazinduliwa UDSM
Ili kuhakikisha kwamba wanafunzi wenye mahitaji maalum wanapata elimu kwa usawa na kufikia malengo yao ya kielimu, Naibu Waziri wa Elimu amezindua Sera ya elimu kwa watu wenye mahitaji maalum Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.