Rais Samia asaidia waliojifungua watoto njiti

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Angellah Kairuki mekabidhi msaada wa mahitaji muhimu kwa mama waliojifungua watoto njiti katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Maweni, Kigoma, ujuwa ni msaada kutoka kwa Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS