Viongozi watakiwa kuenzi falsafa za Nyerere
Katika kuendelea kuenzi mchango wa Rais wa awamu ya kwanza Mwalimu Julius Kambarage Nyerere viongozi mbalimbali wameeleza namna serikali za awamu zote zinavyoendelea kuzienzi falsafa ya Hayati Nyerere hasa kwenye utawala bora.