IGP Wambura asema Polisi wanafanya kazi kwa weledi

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Camillus Wambura amesema jitihada mbalimbali zinazofanywa na serikali ya Tanzania zimeliwezesha Jeshi hilo kufanya kazi zake kwa weledi, haki na uadilifu kwa kuhakikisha usalama wa raia na mali zao unazidi kuimarika

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS