Viongozi wa Vyama vya siasa Afrika Wasifia CPC
Mkutano mkuu wa 20 wa Chama cha Kikomunisti cha China CPC umeanza mjini Beijing, huku viongozi wa vyama vya kisiasa vya nchi mbalimbali za Afrika wakitoa salamu za kupongeza kufanyika kwa mkutano huo, kwa kamati kuu ya CPC na kwa katibu mkuu wake Xi Jinping.