Waliojenga kibanda cha miti kujengewa hospitali

Sehemu ya kibanda kilichojengwa na wananchi

Wananchi wa eneo la Mnali, Manispaa ya Lindi, wameipongeza serikali kwa ujenzi wa jengo la kisasa maalumu kwa akina mama kujifungulia, ambapo hapo awali wananchi hao waliamua kujenga kibanda cha miti ili kiwasaidie kwani walikiri kuchoka kudhalilika kutokana na chumba wanachokitumia wakati

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS