Vijana wahitimu TGC kuwezeshwa ili wajiajiri
Wizara ya Madini kupitia mpango wa uchimbaji madini wa kesho yenye matumaini (MBT) kwa vijana watakaohitimu katika Kituo cha Jimolojia Tanzania (TGC) imesema itawawezesha kwa kuwapatia vifaa na mashine za uchongaji, ukataji na usafishaji madini ghafi utakaopelekea kuwa bidhaa bora zenye