TRA yawapongeza wafanyabiashara

Bwana Alphayo Kidata, Kamishna Mkuu TRA

Wakati ulimwengu ukiadhimisha wiki ya huduma kwa wateja, wafanyabiashara nchini wamepongezwa kwa uzalendo wao wa kujenga nchi na kuchochea maendeleo ya nchi na kukuza uchumi wa Watanzania.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS