Simba kuwafata De Agosto Oktoba 8 kikosi cha Simba Kikosi cha Simba kinatarajia kuondoka nchini kesho Jumamosi alfajiri Oktoba 8, kuekekea Angola tayari kwa mchezo wa hatua ya kwanza wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya CD Primeiro De Agosto. Read more about Simba kuwafata De Agosto Oktoba 8