Waliofukuzwa CHADEMA waanza kuhojiwa mahakamani

Mbunge wa Viti Maalum Grace Victor Tendega

Leo Oktoba 7, 2022 Mawakili wa upande wa CHADEMA wakiongozwa na Peter Kibatala wameanza kuwahoji wabunge wa viti Maalum wanaopinga kufukuzwa uanachama wao na CHADEMA, ambapo Grace Tendega amekuwa mbunge wa kwanza kuanza kuhojiwa kuhusu namna walivyoupata ubunge wao.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS