Mwenge wa uhuru waingia mkoani Kagera

Mwenge wa Uhuru umemaliza mbio zake mkoani Kigoma, na kukabidhiwa mkoa wa Kagera huku ukiagiza wasimamizi wa Miradi ya Maendeleo Kila Halmashauri Nchini, kuwa wazalendo katika Kusimamia Miradi na kuleta ufanisi unaotakiwa kwa lengo la kusaidia maendeleo ya wananchi na Taifa

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS