"Ukiingia gari ya TID unatoka sio mzima" - Q Chief
Picha ya msanii Q Chief
Msanii Q Chief amefunguka kusema TID ni mshawishi mbaya (Bad Influencer) kwa sababu hata ukiingia kwenye gari lake unakuwa mzima lakini ukitoka unakuwa sio kijana kama uliyeingia.